Mbona umeandika je! Unataka kuwa bilionea ndani ya mwaka mmoja? Why?Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro . Majengo yake yako imara na Ina vyumba vyakutosha vya madarasa , maabara , dinning hall , mabweni, kiwanja Cha mpira , maji all the year , fensi na umeme wa 3 phase, shule Ilisimama 2017 kutokana na ukosefu wa wanafunzi na uchumi . Hivyo tunatafuta mtu Yuko serious tukabithiane kisheria aendeleze gurudumu la elimu mwenyeshule unampa 40%wewe unakula 60% ya income na anakupa grace period ya 3 years without payment of rent kwa maelezo zaidi nicheki tuyajenge 0788962318
Ni kweli kabisa hapa hamna biashara hata kidogoMkataba wa kimangungo huo. Yaani niweke hela halafu nikupe 40% ya income? Nimekuwa kichaa? Renting haitakiwi kuzidi 10%
Shule Ina facilities zote hadi madawati Kila kitu then wewe nikuleta wafanyakazi na kuplan tu namna ya kupata students overMkataba wa kimangungo huo. Yaani niweke hela halafu nikupe 40% ya income? Nimekuwa kichaa? Renting haitakiwi kuzidi 10%
Kama ni rahisi kiasi hicho, mbona mmiliki wa hiyo shule alishindwa? Fuata ushauri wa wadau. Hiyo biashara kwa sasa ni ngumu.Shule Ina facilities zote hadi madawati Kila kitu then wewe nikuleta wafanyakazi na kuplan tu namna yakupata students over
Picha ya majengo plzKuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro . Majengo yake yako imara na Ina vyumba vyakutosha vya madarasa , maabara , dinning hall , mabweni, kiwanja Cha mpira , maji all the year , fensi na umeme wa 3 phase, shule Ilisimama 2017 kutokana na ukosefu wa wanafunzi na uchumi . Hivyo tunatafuta mtu Yuko serious tukabithiane kisheria aendeleze gurudumu la elimu mwenyeshule unampa 40%wewe unakula 60% ya income na anakupa grace period ya 3 years without payment of rent kwa maelezo zaidi nicheki tuyajenge 0788962318
Na wanafunzi nitafuteš hata nikiwakuta na walimu siwezi toa 40%Shule Ina facilities zote hadi madawati Kila kitu then wewe nikuleta wafanyakazi na kuplan tu namna yakupata students over
Mazingira pekee hayaleti faida ndo maana mmiliki kashndwa tena na uzoefu wa miaka kibaoWewe ungetaka utoe %ngapi?
Manake shida hujaona mazingira yenyewe na mambo yalivyokaa standard