K kichwakili Member Joined Aug 19, 2017 Posts 27 Reaction score 23 Nov 6, 2018 #1 Habari wana jamii forums, naomba mwenye shule nzuri za primary za english medium maeneo ya kigamboni naomba mnijulishe kwani ivi karibuni ntahamia huko kwa sasa naishi mtongani naombeni na maelekezo jinsi ya kufika, asanteni
Habari wana jamii forums, naomba mwenye shule nzuri za primary za english medium maeneo ya kigamboni naomba mnijulishe kwani ivi karibuni ntahamia huko kwa sasa naishi mtongani naombeni na maelekezo jinsi ya kufika, asanteni
King _Of_Everything JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 702 Reaction score 1,378 Nov 6, 2018 #2 Genesis Malaika Amka Efatha HBS Bethania Consolata Excel.. Nk. Kwa hizi na nyingine nyingi ukifika nicheck nikupeleke. Bodaboda mimi mwenyewe.
Genesis Malaika Amka Efatha HBS Bethania Consolata Excel.. Nk. Kwa hizi na nyingine nyingi ukifika nicheck nikupeleke. Bodaboda mimi mwenyewe.
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,656 Reaction score 724 Nov 7, 2018 #3 Brave boy said: Genesis Malaika Amka Efatha HBS Bethania Consolata Excel.. Nk. Kwa hizi na nyingine nyingi ukifika nicheck nikupeleke. Bodaboda mimi mwenyewe. Click to expand... Umesahau Joyland international School ,Saint Joseph the worker na Fry Luis ni shule nzuri sana.
Brave boy said: Genesis Malaika Amka Efatha HBS Bethania Consolata Excel.. Nk. Kwa hizi na nyingine nyingi ukifika nicheck nikupeleke. Bodaboda mimi mwenyewe. Click to expand... Umesahau Joyland international School ,Saint Joseph the worker na Fry Luis ni shule nzuri sana.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Nov 8, 2018 #4 SODOKA said: Umesahau Joyland international School ,Saint Joseph the worker na Fry Luis ni shule nzuri sana. Click to expand... Msisahau kuziangalia na matokeo yake Std4 na Std7 miaka ya hivi karibuni. Mnaweza kuta mnazungumzia uzuri wa Majengo tu kumbe ndani hakuna kitu.
SODOKA said: Umesahau Joyland international School ,Saint Joseph the worker na Fry Luis ni shule nzuri sana. Click to expand... Msisahau kuziangalia na matokeo yake Std4 na Std7 miaka ya hivi karibuni. Mnaweza kuta mnazungumzia uzuri wa Majengo tu kumbe ndani hakuna kitu.