unataka kuniambia waliomaliza form 4 mwaka jana washafanya interview ya kuingia advance Marian Boys? kwa matokeo yapi? au ni wale ambao tayari mpo advance ila mnataka kuhamia?

yan walomaliza 4m 4 washafanya interview marian boyz na wameshachaguliwa ila sijui wataenda shule lini na hilo suala la kusubil matokeo. ya necta sijajua
alpha ni almost 5m,,,st joseph cathedral ni almost 5m ila alpha ndo ina day hii st jo haina,,,shabaan robert wako vizuri sana iwapo una mtoto anayejitambua ila yenyewe ni day na ada ya kawaida

Mwanangu ni miongoni mwa waliokosa nafasi ya kujiunga kidato cha tano ana point 29 na ana B katika civics C katika History,Kiswahili,English na Biology na D katika Math, Physics, Chemistry, Geography na Agriculture.
Nimeona badala yakusubiri second selection nimpeleke shule ya Private katika maeneo ya Moshi na Arusha
Hivyo mwenye kufahamu shule nzuri yenye combi za HGE,HGL na za bweni
Iwe ya wanaume au mchanganyiko kwani mwanangu ni wa kiume naomba anisaidie.