Shujaa amelala, ametuacha imara

Kwahiyo Marehemu alikuwa anapewa majicho katika uteuzi wa Wizara?
Kumbe nahangaika na mihemko!? Tufanye mjomba ako lisu atakuw rais 2055
Endelea kumpigia kampeni
 
Mbali sana Katiba mpya ikishapatikana Tume huru inakuwa teyari Lissu anaingia Ikulu
Aah wapi!?mjadala wa Tume huru umeanza Leo? We mtafute akutaftie shaVu ukapige deki alipo!? Kayshindwa mzee w mabadlko? Hiv na IQ yako kubwa lakn hujui maana y uongozi!? Unatia tia huruma eti wananchi wakupoze kukupa uraisi uliskia wapi!?
 
Mwambie shujaa wenu kwamba aliowaacha imara wameshakuwa vichaa hawana ramani wanazurura kumtetea. Kama alifanya vizuri Wala kusingekuwa na hii nguvu ya kumtetea
 
Mwambie shujaa wenu kwamba aliowaacha imara wameshakuwa vichaa hawana ramani wanazurura kumtetea. Kama alifanya vizuri Wala kusingekuwa na hii nguvu ya kumtetea
Ripoti ya CAG imefungua mambo na kuonesha watu ukweli kwamba zile sifa za "Magufuli karudisha nidhamu wapigaji wameogopa" zilikuwa ni hekaya tupu.
 
Ripoti ya CAG imefungua mambo na kuonesha watu ukweli kwamba zike sifa za "Magufuli karudisha nidhamu wapigqji wameogopa" zikikuwa ni hekaya tupu.
Hekaya za abunuwasi dead stone 😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…