Shujaa amelala, ametuacha imara

Mchapakazi amepumzika, tuendelee kumshukuru Mungu na kusherekea zawadi ya uhai wake kwetu

Your browser is not able to display this video.

Shujaa na mtekelezaji kipenzi chetu John Pombe Magufuli aendelee kulala salama💔
 
Nasikia wanatafakari kuahirisha mazishi ili iwe Ijumaa ijayo waendelee kutumbua fedha za umma kwa kuzungusha mwili wa mwenzao kama maandazi ya jana vile yaliyonunulika.
Nasikia wanataka wapitishe maiti musoma,serengeti,ngorongoro,karatu hadi arusha na moshi kutdhibitisha zaidi kwamba marehemu alikuwa anapendwa sana na ngome ya chadema na kanda ya kaskazini
 
Mchapakazi amepumzika, tuendelee kumshukuru Mungu na kusherekea zawadi ya uhai wake kwetu

View attachment 1734029

Shujaa na mtekelezaji kipenzi chetu John Pombe Magufuli aendelee kulala salama💔
Unatutaka tusherehekee zawadi ya uhai wake kwetu, na wakati kwa sasa tuko kwenye kipindi kigumu cha maombolezo? Ngoja kwanza tumpumzishe mpendwa wetu hiyo kesho, halafu ndiyo tuongelee hizi habari.
 
Kati ya watu waliomharibia kabisa Rais Magufuli ni 'wasiojulikana'; ambao waliigeuza nchi kutoka kwenye ustaarabu na ubinadamu na kuipeleka kwenye maisha ya kinyama. Maisha ya kuua, kutrka na kupoteza watu.
 
Unatutaka tusherehekee zawadi ya uhai wake kwetu, na wakati kwa sasa tuko kwenye kipindi kigumu cha maombolezo? Ngoja kwanza tumpumzishe mpendwa wetu hiyo kesho, halafu ndiyo tuongelee hizi habari.

Tunamshukuru Mungu kwa zawadi hii ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa taifa letu, Tunamsherekea na tutaendelea kumsherekea vizazi na vizazi

Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli 💔🙏
 
Ameaacha Vimeo vya miradi mikubwa. Haiishi hata 2030

Hayo ma Stiglers Gorge na SGR ni WHITE ELEPHANTS. Alikurupuka.

Humu GF kuna threads nyingi zilizochambua.

Au siyo? Wengi wwen humu mnashadidia tabaka la kati.. Baba zenu wametumbuliwa ukiniambia suala la ajira mbona bosi wangu kasomea uhasibu mwaka 2005 kasota mpka kaajiriwa an wahindi kabla y kufungua kampun yake!? Ukiniambia mishHara kuongezwa unadhani machnga na mshAhara wa mtumishi tcra vinakaribiana vp!? Hapo napo mbali!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…