Shtuka mwanaume, mjini hapa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Mkiwa wote anachati balaa...imetoka hii Whatsapp
KAIJIBU....Imeingia BBM ile KAIJIBU...Mara
Tango....Mara Telegram...Kidogo mara simu katoka
nje...Kama Opareta wa SPANCO. Simu anayo mkononi
masaa yote..Utasikia, ''Excuse me Babe naomba nitoke
nje.niongee na simu ya mama nakuja sasa hivi''. DAKIKA 25 nzima...sa4 usiku..huyo mama
anamuelekeza kupika pilau au??
Chaajabu ukiwa haupo...Meseji anajibu kwa
kubeep...Ukituma anajibu after 20minutes...Ukipiga
haipokelewi..after nusu saa ndo utaambiwa''Simu
nliacha chumbani nlikuwa napika''wakati unamjua hata Uji hawezipika...Kuna type za kuacha simu
chumbani lakini sio huyo...Umeliwa baba..
WEWE NI POWERBANK TU
 
Umezoea kumuona akichati muda wote. Muda wote yuko na simu yake.

Tabu ni pale unapom-text, chati naye kujibiwa baada ya masaa 3. Au no answer kabisa.
 
Umezoea kumuona akichati muda wote. Muda wote yuko na simu yake.

Tabu ni pale unapom-text, chati naye kujibiwa baada ya masaa 3. Au no answer kabisa.
Duuh,! Hapo unaeza kufa kwa mawazo asee
 
Na wewe bado tu unaendelea nae?wenye kujua thamani ya mwanaume wamejaa tele....ZINDUKA!
 
Aiseee wewe ungekuwa unaimba kisengeli ungekuwa mkali wao maana ni shida
 
Ukiona hvyo jua kifurush chako cha siku af. MB zake ni 8
 
Stunter hivi wanawake walikukosea nini
 
kwa hiyo unataka ukiwa naye asi chat na watu wengine...?
mbona we umetuambia ulichat jf mpaka ukakimbiwa lodge ua ile ilikuwa chai nini
 
Nashukuru wangu nimemnunulia kasmartphone lakini hana hata muda nako,ye amekazana na katochi kake tu.Na ni msomi ana kajiwe kake daaah kupata mwanamke kama huyu ni kushukuru sana kwa dunia ya leo.
Luv u mtoto wa kitanga
 
Last seen[emoji818] [emoji818]
 
nimeipenda hii, eti saawa na powerbank, yaan unahitajika pale umeme haupo ama? maana powerbank yangu inanisaidia sana jaman. kukiwa na umeme au hakuna powerbank yangu is the best.

fafanua please hapo kwenye powerbank loooh
 
kwa hiyo unataka ukiwa naye asi chat na watu wengine...?
mbona we umetuambia ulichat jf mpaka ukakimbiwa lodge ua ile ilikuwa chai nini
Inategemea na situation mkuu,
Mimi pale nilikuwa niko pekeangu yeye aliingia bath so nilitegemea akirudi niache kuchat kabisa
 

MI nlijua mwanaume kumbe mwanamke!
 
Nashukuru wangu nimemnunulia kasmartphone lakini hana hata muda nako,ye amekazana na katochi kake tu.Na ni msomi ana kajiwe kake daaah kupata mwanamke kama huyu ni kushukuru sana kwa dunia ya leo.
Luv u mtoto wa kitanga
ongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…