Ametisha sana π€£π€£π€£π€£Hahahahaha..daah nomaa sana
Kipi kikuchekechasho bibiye?
Hii thread ilipaswa kuwa kule "jamii interijensi"Baada ya pilika za siku, tunapoa baa tukichoma maini tuliyopewa bure, meza inawatu hawa
1.Mwenye baa
2.Wafanyakazi wake
3.Wateja
4.Wapumzikaji (Wapita njia)
Njoo tusemezane wenye akili
Je ni haki kula kwa mkono kushoto kitimoto?
Mbona kwenye guidelines hapo kakataza?
Hayo si maamuzi binafsi?
Je ukiiga uwajibishwe?
Jibu na hapana! Binadamu tunafanya makosa ila mbona mwenye baa hawa staff wako (bamedi) wanatunyanyasa kajamba mlevi yule unajibu mapigo unatupwa nje wewe yeye anabaki?
Namengi ila niishie hapa
Mods hapa sijavunja sheria, msije nipa double kick, kisa et savannah hazinileweshii, hii baa hii itatuuwa
Kwako Gily Depal na AlmightyGod na chawa wengine
Usipo elewa basi utumie mafuta na maji siku saba umalizie na keki, nimejaribu sana kulainisha
Nilichosahau ni kuwa huyo mmiliki wa baa yeye kama hayupo yupo bize na mahesabu wateja tunanyongwa and he don't care
Tayari nimekula bann na kutupwa nje!Baada ya pilika za siku, tunapoa baa tukichoma maini tuliyopewa bure, meza inawatu hawa
1.Mwenye baa
2.Wafanyakazi wake
3.Wateja
4.Wapumzikaji (Wapita njia)
Njoo tusemezane wenye akili
Je ni haki kula kwa mkono kushoto kitimoto?
Mbona kwenye guidelines hapo kakataza?
Hayo si maamuzi binafsi?
Je ukiiga uwajibishwe?
Jibu na hapana! Binadamu tunafanya makosa ila mbona mwenye baa hawa staff wako (bamedi) wanatunyanyasa kajamba mlevi yule unajibu mapigo unatupwa nje wewe yeye anabaki?
Namengi ila niishie hapa
Mods hapa sijavunja sheria, msije nipa double kick, kisa et savannah hazinileweshii, hii baa hii itatuuwa
Kwako Gily Depal na AlmightyGod na chawa wengine
Usipo elewa basi utumie mafuta na maji siku saba umalizie na keki, nimejaribu sana kulainisha
Nilichosahau ni kuwa huyo mmiliki wa baa yeye kama hayupo yupo bize na mahesabu wateja tunanyongwa and he don't care
Mkuu pole sana japo nimejulia kule ila hauto jutaNilijaribu kuhabarisha wanajamii ujio mpya wa forum ya kibabe KIJIJI FORUM
View attachment 2646112
me amna nilichokielewa hapaππΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈMkuu pole sana japo nimejulia kule ila hauto juta
Gily
mshamba_hachekwi
Leejay49
Half american
Ms eyes
Depal
DeepPond (hukustail kuwepo kwenye list ila upendo na mada zako umefanya nikakuweka)
DR SANTOS
Numbisa
Na all JF
One minute of silence ya huyu jamaa ila ukimtaka kwa kumpata mwapajua
Alamsiki ngoja nikacheze na madatabase
Mkuu pole sana japo nimejulia kule ila hauto juta