Prime Dynamics
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 551
- 251
Amua moja kama kidhungu kidhungu kama kiswahili kiswahili umenichanganya kabisa
Amua moja kama kidhungu kidhungu kama kiswahili kiswahili umenichanganya kabisa
Amua moja kama kidhungu kidhungu kama kiswahili kiswahili umenichanganya kabisa
Alikuwa anataka aeleweke zaidi haha
Jaman, Dena? Naamin umemuelewa bana!
heheheh kwahiyo ndio hata huchangii tena ushakasirika lool.....
yap kama ni mimi nitaendelea na relationship
kwani sasa si kuhusu mimi na wewe tu tuna mtoto sasa
kwa hiyo hapo kwa kweli ni kufanya juu chini msameheane
muyaweke pembeni na mfikirieni mtoto...
kweli mtagombana sana lakini ukweli ni kwamba
kwenye stage ya maisha ambayo mmefikia
ni bora kutafuta solution kuliko kukimbiana ...
You have to learn to trust each other, its better to look for a solution other than sticking to a problem
Amua moja kama kidhungu kidhungu kama kiswahili kiswahili umenichanganya kabisa
Dena hapa huelewi kidhungu au kiswahili?Uko na mpenzi wako kwa muda mrefu. Baada ya muda girlfriend anakwambia she is expecting a baby. You get confused because rafiki yako wa karibu alikwambia that she had been cheating on you. To make matters worse, mama yako also believes that you are being trapped.
Nine months down the road, the girlfriend gives birth to a bouncing baby boy, but you keep on doubting whether wewe ndio baba wa mtoto.
Baada ya kutafakari you decide to ask the girlfriend for a paternity test. She insists the child is yours but you stand on your ground.
When the test is eventually done, you find that the child is yours.
Swali kwa wanawake je will you continue the relationship or that will be the end? Baada ya mwanaume kuonyesha that he doesn't trust you. How would you handle such a situation in the house if you decided to continue the relationship?
Kupenda raha, Hujambo Afro? Hapo kwenye RED wako wangapi?That's ma men ..
Kupenda raha, Hujambo Afro? Hapo kwenye RED wako wangapi?