Koba
Muheshimiwa sana Koba , soma post ya Smatta hapo juu na ndio utaelewa interest ya Kenya katika Tanzania.Si uongo usiofichika kuwa wenzetu kwenye kupenda mali wako kwenye overdrive na ukizubaa tu umeliwa.1977 waliappropriate ndege zote za EApamoja na mabehewa mengi tuya treni, ule ndio ushirikiano.
Leo uliwe tena kwa mara ya pili mtu utaitwa mpumbavu.
Kudanganywa mara mbili katika kizazi kimoja itakuwa aibu.
Kushirikiana na Kenya ni jambo la muhimu lakini TERMS lazima ziwekwe wazi, si kujipeleka kichwa kichwa,umeshuhuddia mapanga ya mwaka jana kati ya ndugu na ndugu, sembuse wa mbali watanzania?