"ABORTION"
tunapoelekea mjadala wa katiba mpya;
Naomba kupata maoni yenu wanajf,tukizingatia ukweli kwamba abortion ni swala tata kwenye nchi nyingi na kwa upande mwingine abortion za uchochoroni(criminal abortion) huchangia kwa kiasi kikubwa cha maafa ya kinamama(one of the major cause of maternal mortality).
Nawasilisha...
Kwahiyo kuwe na mpango wakumwepushia mtu anaetaka kuua kifo??
anayeua ni mama anaetolewa mimba au dakta anayetoa mimba??
Wote ila Mama zaidi.....Dr anafuata maelezo!!
Mh?
Tofauti na mwanajeshi anayepokea tu amri, daktari anao uwezo wa kukataa, si ndio?
Mh?
Tofauti na mwanajeshi anayepokea tu amri, daktari anao uwezo wa kukataa, si ndio?
Kweli kabisa ila wenyewe wanashawishika na pesa!Na kwa njaa tuliyo nayo ni ngumu kwa wao kukataa ikiwa mama mwenyewe kaamua!Asipofanya yeye atafanya mwenyewe!
Mwanzoni mlidai kuwa woman circumsition is the cause of women motality. Endeleeni na ufisadi wenu. Tunajua kuwa mmeshavuta kutoka kwa wazungu."ABORTION" tunapoelekea mjadala wa katiba mpya; Naomba kupata maoni yenu wanajf,tukizingatia ukweli kwamba abortion ni swala tata kwenye nchi nyingi na kwa upande mwingine abortion za uchochoroni(criminal abortion) huchangia kwa kiasi kikubwa cha maafa ya kinamama(one of the major cause of maternal mortality). Nawasilisha...
kwa hiyo iruhusiwe?
Binafsi si-surport ndio maana niliuliza wauaji(watoaji mimba kwavile wanajisikia kufanya hivyo) waepushiwe kifo??Since mtoa mada anataka iruhusiwe ili wasitoe kienyeji kitu ambacho kinaweza kuwasabishia watolewaji kifo!
dhana ya mtoa mada ni kuwa ikiruhusiwa itakua salama.