Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,987 Jul 20, 2012 #1 Habari wadau kwa wale tuliapply hii post ,jamaa wameshapigiwa simu kwa waliofanikiwa,kama bado basi tumekuwa unsucessfull,interview wanafanya jumatatu ila tusihofu kwa tuliokosa kama ipo ipo tu
Habari wadau kwa wale tuliapply hii post ,jamaa wameshapigiwa simu kwa waliofanikiwa,kama bado basi tumekuwa unsucessfull,interview wanafanya jumatatu ila tusihofu kwa tuliokosa kama ipo ipo tu
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 859 Jul 21, 2012 #2 thanks mkuu kwa taarifa, vipi wale jamaa wa mambo ya ethics walishaitwa