New york City
Senior Member
- Jul 24, 2020
- 176
- 567
Sorry ni dada tu ( gender balance)Ni lazima awe mdada?
Vipi kwa Me?
Duka la aina gani ?
Duka lipo maeneo yep?
Weka picha kuthibitisha usemayoSina diploma ila sifa zilizobaki nnazo niko mikindani vipi napita?
mimi mzuri hilo halihitaji picha mkuu wanaonijua watathibitisha[emoji4]Weka picha kuthibitisha usemayo
Haya mtafute huyo mtu sasa mimi nimuwakilisha tuSina diploma ila sifa zilizobaki nnazo niko mikindani vipi napita?
Asante sana ndugu muwakilishiHaya mtafute huyo mtu sasa mimi nimuwakilisha tu
This is not (gender balance)Sorry ni dada tu ( gender balance)
Tayari kuna wanaume hapo kakaThis is not (gender balance)
OkAsante sana ndugu muwakilishi
Wanaume waliopo hapo uliwapata kwanjia ya kusema nahitaji ME tu au hustling zao zimewafanya wawe hapo kama ni hivyo hii ni Gender Inequality /Mfumo Jike.Tayari kuna wanaume hapo kaka
Mcheki huyo jamaa hapo kwa maelezo zaidi mimi siwezi kueleza beyond hilo tangazoWanaume waliopo hapo uliwapata kwanjia ya kusema nahitaji ME tu au hustling zao zimewafanya wawe hapo kama ni hivyo hii ni Gender Equality /Mfumo Jike.
Ntumie hata pm na mimi nithibitishe basimimi mzuri hilo halihitaji picha mkuu wanaonijua watathibitisha[emoji4]
Picha yangu inatumwa kwa GB mbili tuma GB kwa jfpesaNtumie hata pm na mimi nithibitishe basi
Ntumie namba nikuunge mkuu, sema nasikia vifurushi vimepanda bei, nkuunge cha sh ngapi?Picha yangu inatumwa kwa GB mbili tuma GB kwa jfpesa
It is gender bias.This is not (gender balance)
Cha ef 9 mkuuNtumie namba nikuunge mkuu, sema nasikia vifurushi vimepanda bei, nkuunge cha sh ngapi?
Ameshapatikana mtu mkuu?Kuna mtu anatafuta Dada mwenye angalau diploma ya mambo ya biashara mchapa kazi, flexible, na mwiminifu kwa ajili ya kazi ya kuuza duka
Salary 300, 000 +
Sharti: Hardworking, innovative, self-starter and nice looking