Nilipigwa ban isiyo na kikomo nikaja na ID nyingine.'Ban langu lilikuwa ndefu zaidi sidhani kama kuna member yeyote aliyewahi kupigwa ban ndefu kama langu toka JF iundwe'.
Unamfahamu jamaa anaitwa malaria Sugu?
Hahaha huu uzi bila koment yakoNilipigwa ban isiyo na kikomo nikaja na ID nyingine.
Kuna ban huwa zinatolewa siku za wikiendi hizo huwa ni za muda mfupi ila zile za kuanzia Jumatatu, Jumanne na Jumatano ni kuanzia miezi sita hadi 10.
Hahaha huu uzi bila koment yako
Usingenoga [emoji28][emoji28]
E bhana eeh id 60 😎😅😅Mimi ban zilifanya niwe jeuri na nisinyenyekee mtu yeyote humu.
Ban kitu gani kama una ID 60.
Wewe Dada NimekumissMods natamani niwapake shombo zote lakini wahenga walisema mwenye nguvu mpishe na hii comment usishangae nikalambwa ban ya miezi 4,,, hahahahha makosa mepesi ban zake huwa ndefu ila makosa magumu na members maarufu ama wakongwe wanapewa ban fupi fupi,,
Watu wamedhalilisha members humu lakini wapo wanadunda,, hii inakirihisha sana
Mtandao huu unapoteza ladha kila leo
Mkuu namimi hii juzi kati ilinikuta nilimtaja jamaa mwenye ID nyingi humu nikasema hii sio ...?nikajikuta nimechezea wiki 2.JuI hapa niliichezea kama utani kisa tuu nime coment uzi wa jamaa nikasema asante sana( ......)nikataja jina la mtu mmoja hivi yuko sekta nyeti kwa kweli nilipewa ya mwezi kama masihara hivi..
Imbi langu nilujjwa nawaomba wanapompiga mtu ban wasimwambie kosa tuu wamwanbie na hiyo ban nina mda gani maana wanatutoa kwenye uwepo hivihivi.
Mbona wanashow na mda/wakati..!!JuI hapa niliichezea kama utani kisa tuu nime coment uzi wa jamaa nikasema asante sana( ......)nikataja jina la mtu mmoja hivi yuko sekta nyeti kwa kweli nilipewa ya mwezi kama masihara hivi..
Imbi langu nilujjwa nawaomba wanapompiga mtu ban wasimwambie kosa tuu wamwanbie na hiyo ban nina mda gani maana wanatutoa kwenye uwepo hivihivi.
Unajishaua sio?! 😂Mimi ban zilifanya niwe jeuri na nisinyenyekee mtu yeyote humu.
Ban kitu gani kama una ID 60.
@Viatu vya samakiMimi ban zilifanya niwe jeuri na nisinyenyekee mtu yeyote humu.
Ban kitu gani kama una ID 60.