Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

Dah, nimeumia sana. Hawa watu tunawasaidiaje jamani?
Eti wataalamu wa saikolojia ama mnaofahamu, tuwasaidieje wanaume hawa?
Halafu utakuja hajali watu wanaongea nini hata kama wana msema ama lah yeye yuko poa tu anajiona yuko bomba sana. Kumbe amepotea. Eeh Mungu utu rehemu.
 
Hawa watoto wanahitaji sana msaada, muwasaidie kama mnawafahamu, kama ni jirani yako au mtoto wa ndugu yako msaidie, wakati mwingine unapomtumia mtoto wa jirani au yoyote hujue kuwa unapanda mbegu katika uzao wako mwenyewe, haya mambo huwa hayapiti. Yanaenda mbele na kurudi nyuma. Msishabikie, kuna nyumba unakuta Baba tabia kama hiyo, watoto humo humo ni huruma sana!!!
 
Hao watoto hawasikii ukijaribu kuwashauri utaambulia matusi makali bora kuwaacha wakishapata magonjwa ya ngono ndio watafundishika nakuacha huo ujinga wao
 
well saiD
 
Kinacho nishangaza wanawake ambao gawio lao ambalo limepunguzwa na hawa makhabeethy ndio marafiki zao wakubwa hawaoni tatizo mpaka pale wanaponyang'anywa mabwana ndo chuki huanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…