Shocking details of mysterious owners of Kenya’s SGR firm

wapinzani wa Tz huwa na matatizo ya akili..Utawaona wakishabikia mikataba kama bagamoyo na kuimbia pambio makampuni mijizi kama Accacia..Yaani JPM amewatoa pumzi hawana la kumkejeli nalo ila hoja za hisia hisia tu
Hili ni tatizo kuu la waswahili hawajui nini wana itaji... Wana penda kuona mwingine akiaribikiwa tu na sio akifanikiwa
 
Kenya wanaishi maisha yetu ya enzi zile. Sisi na Dkt Magufuli wetu tunapeta. Enzi zile hata mikataba ilikuwa “SIRI” ila sasa tumefahamishwa Bagamoyo ilikuwa aga moyo kwelikweli maana mchina angechukua moyo wetu kwa vizazi kibao
🤣🤣🤣 hii china ilikuwa babu kubwa yani angepiga SGR Kenya na Bagamoyo na Umeme Zambia...! Mwisho wasiku tuna letewa askari toka china...
 
Yani watu private wanaweza ifikisha SGR Km zaidi ya 600 wakati Serikali yet ya Magu hata hatujui tumekwamia wapi na "pesa zetu za ndani" . Hongera Nyang'aus kwa kuwa wanaitumia kusafiri abiria na mizigo ilhali Hii yetu hata chembe la mchanga haijabeba miaka mitatu toka kwanzishwa kwake...mara 30%, mara 52% Tena kidogo kidogo 40% ni Kama inaundwa ikibomolewa. Wabongo tuna shida kubwa Tena ya akili.
 
Atakuwa Ana matatizo ya kichwa
 
i'm 100% sure name like kenyatta family and the likes can never be missed in the list of the unknown local shareholders.

that family is very corrupt and greed.
Bora tuwasaidie asee maana wameingia mkataba wa kuuza parachichi na za kwao ni kidogo wananunua tz na Uganda ngoja tuwalegezee wasije wakashindwa kulipa hata wafanyakaz mishahara
Bro yakwangu haya hapa.
#maparachichi4sgr

View attachment 1124584
Kenya wanaishi maisha yetu ya enzi zile. Sisi na Dkt Magufuli wetu tunapeta. Enzi zile hata mikataba ilikuwa “SIRI” ila sasa tumefahamishwa Bagamoyo ilikuwa aga moyo kwelikweli maana mchina angechukua moyo wetu kwa vizazi kibao
Hawa sasa watakuwa ni waroho walio pitiliza...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 

This secret contract is similar to that of Mtwara natural gas, Mtwara - Dsm Gas pipeline and development of Bagamoyo Ports by China and Oman!! What a shame. We are ready to temporarily second President Dr J P J Magufuli for a period of just 6 months so long as your Senate and National Assembly concur!! Note that Dr Magufuli SHALL NOT abdicate his Tanzanian responsibility, we are ready to allow him manage the two nations!! Mbona mtu anakuwa na wake wawili! The same logic applies!
hahahahaa!
 
Hatutaki dikteta kichwa empty huku,hio kifua amezoea kupiga huku hatuwezi kamwe tambua,Kenya ni nchi ya wanaume kamili sio kama bongo ni nchi imejaa wanawake tupu
 
Hatutaki dikteta kichwa empty huku,hio kifua amezoea kupiga huku hatuwezi kamwe tambua,Kenya ni nchi ya wanaume kamili sio kama bongo ni nchi imejaa wanawake tupu

Ahaaa haaa haaa
ninyi si mmezoea kuliwaaa!!
Endeleeni kujenga mirija (tentacles) wakati sisi tunakata mirija.
 
Lakini nini mbaya na CRBC kufungua special purpose company to concentrate on running Kenya SGR after getting contract to run for 5yrs?
According to registering details, hakuna Mkenya kwenye shareholders, all chinese but its registered in Kenya meaning it will pay taxes. Media says its bad that it has local shareholders but watu wengine watadema its bad because of no local shareholders , kwahivyo gani mbaya?
Kampuni zote zikingia nchi ingine wanaregister alocal company to comply with local policies. Acacia mining ina local shareholders?
Kenya media have let me down.. half truths and rumours mingi just to make people angry and buy newspapers
 

Ahaaa haaa haaa
mbona unaongea hisia ZAKO na si UHALISIA?
waandishi wamefanya utafiti ndiyo MAANA wame publish hiyo story.
 
Ahaaa haaa haaa
mbona unaongea hisia ZAKO na si UHALISIA?
waandishi wamefanya utafiti ndiyo MAANA wame publish hiyo story.
Wandishi wamefaya uhalisia bila proof ama evidence yeyote ya picha za hizo documents....hio yote ni upuuzi ya githeri media house
 
Kenya is the most corrupt nation in Africa. With Uhuru at the helm, Kenya doesn't need enemy...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…