Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Ahsante mkuu endelea kutupa update. Naona wenye timu yao wameisusa.Simba 1 Coastal Unioni 1
Wamekaa. Safi sanaFT Simba 1-2Coastal Union.
Simba out FA.
Nafasi pekee ya kuondoka matopeni ni kuwa bingwa wa VPL.FT Simba 1-2Coastal Union.
Simba out FA.
Ndo itakuwa hivyo. Yanga bingwa VPL Azam bingwa FANafasi pekee ya kuondoka matopeni ni kuwa bingwa wa VPL.
Kati ya Yanga na Azam, mmoja bingwa VPL na mwingine FA cup!
Waendelee kuishangilia misri Al ahlyNafasi pekee ya kuondoka matopeni ni kuwa bingwa wa VPL.
Kati ya Yanga na Azam, mmoja bingwa VPL na mwingine FA cup!
Ubingwa unatua msimbazi wewe hilo halina ubishiNafasi pekee ya kuondoka matopeni ni kuwa bingwa wa VPL.
Kati ya Yanga na Azam, mmoja bingwa VPL na mwingine FA cup!
Mkuu nimekuja. Sikuwa Na taarifa Na mechi hii. Kumbe tumepigwa?? Basi ndio maana sikuwa Na mood ya mpira Leo.
Wafungaji tafadhali.Simba 1 Coastal Unioni 1