Shilingi ya Tanzania yaimarika dhidi ya Dola ya Marekani

Tatizo lako mkuu unaishi in ivory towel yanayofanyika on the ground hujui n hili ndio tatizo la middle class wetu,maadam wanapata daily bread hawajui next door hata kipande cha mhogo hawana,Zambian kwacha for now imeweka level moja na ZAR
Never ever kuniita mwongo wakati huna FACTS ninachukua UONGO mkuu
 
huijui vizuri historia ya kwacha... jaribu kujifunza kwa wanaoifahamu au tafuta taarifa sahihi..
Bila shaka hata kesho ukiambia Zim dollar ya zimbabwe ni zaidi ya TSH wakiondoa yale masifuri utabishana pia...
Jamaa upo dunia gani hiyo?
Screenshot_20211009-104618_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom