Anafaa Kwa mboga chaina.Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele
uhuuuuuuuuuuuu
View attachment 393706View attachment 393707View attachment 393708View attachment 393709
We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23]
halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita
View attachment 393710
ebu kampe papuchu ujue uzur wake unafikir kwanin msanii wako anadata na jamaaa achana mzikiDiamond Ana mvuto gani[emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57] yule ukimuona live mbayaa Ana mipele mipele usoni
Ndo ww huyoView attachment 394506[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kizuri lazma kisifiwe
"Kwann msanii wako anadata na jamaa Achana mziki" sijaelewa hapo em nyoosha maelezo . mm yangu naenda kumpa kamikaze na tuna appointment Leo jioni diamond mpelekee mkeo nahis atakusimulia uzuri wake ulivo[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]ebu kampe papuchu ujue uzur wake unafikir kwanin msanii wako anadata na jamaaa achana mziki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Ehheheheh mtukufu raisi yupo kwaajili ya wanyongee
Hahaaa wewe mbona avatar sio yako hiyo , inamaanisha na ww unapenda mwanamke wa hivo sasa na ww tukuweke kipengere kipi. Mapovu vepeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] wanaume wenye sura ngumu utawajua tu[emoji23] [emoji23]grow up old woman....you think life is just man with pretty face & six parts whatever he has mjinga sana wew mwanamke nimekudharau kuliko
[emoji12] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]life is too short dude!!grow up old woman....you think life is just man with pretty face & six parts whatever he has mjinga sana wew mwanamke nimekudharau kuliko
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hajiamini huyo ndo tatizo lake, kwani kuna ubaya gani mwanamke kumsifia mwanaume mzuri mwenye mvuto?? Akwendree zake huko[emoji12] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]life is too short dude!!
easy...easy...!
Tena kwa Kamikaze tunapanga foleni ukitoka naingia mimiii"Kwann msanii wako anadata na jamaa Achana mziki" sijaelewa hapo em nyoosha maelezo . mm yangu naenda kumpa kamikaze na tuna appointment Leo jioni diamond mpelekee mkeo nahis atakusimulia uzuri wake ulivo[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa tenaaa[emoji23] [emoji23]Tena kwa Kamikaze tunapanga foleni ukitoka naingia mimiii
Hehehhehehe ukute ana sura kama kalamba malimauHahaaa wewe mbona avatar sio yako hiyo , inamaanisha na ww unapenda mwanamke wa hivo sasa na ww tukuweke kipengere kipi. Mapovu vepeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] wanaume wenye sura ngumu utawajua tu[emoji23] [emoji23]
roho mbaya haijengi!!Hajiamini huyo ndo tatizo lake, kwani kuna ubaya gani mwanamke kumsifia mwanaume mzuri mwenye mvuto?? Akwendree zake huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana nimekuta picha yake sehemu[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hehehhehehe ukute ana sura kama kalamba malimau
Ndo maana saa zingine wanasalitiwa maana hata ukimkosoa kwamba hiki ulichofanya sio fanya hiki , wao wanapanic bila kujali kina thamani gani kwako ukimpata mwenye nacho unampa mgongoroho mbaya haijengi!!
yaani wanaume bwana kusifia mwanaume mwenzao ni shidaa!
Maneno ya mkosajii[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli Dinazarde kawatoa mapovu wengii mm kila nikiona comment ya me siishi kucheka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona ka shoga?
Hapo nimefunika 99.5%..would you???mimi pia huwa mwanaume akiwa mzuri kabisa sinaga hisia nae hata kidogo..
nafikiri kwa sababu siamini katika tabia zao..
mimi mwanaume wangu natakaga awe body ya kuvutia wastani
sura sio mbaya wala sio mzuri.. kawaida
anajipenda/gentlemen
ilimradi anapiga mswaki na hanuki kikwapa..
kikubwa kuliko chochote tabia yake..
tabia yake ikiwa njema.. nahisi hicho ndio kinanivutia 70%..