wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
kwa hiyo hoja yako ni kwamba shida ya maji ipo au haipo pale moro mjini??Morogoro mjini kuna shida ya maji?unaijua shida ya maji wewe?au unaropoka?kipindi naishi morogoro,maji yanatoka alfajiri mpk saa 5 asubui.
Taja maeneo yenye shida ya maji.katika awamu hii ya tano ya utawala wa JPM kuna miradi mikubwa inatekelezwa ya miradi ya maji hapa nchini ila morogoro mjini yenye shida ya maji siisikii hii inasababishwa na viongozi wa mkoa huo wengi wao wanamagari ya uzwaji wa maji mitaani kwa bei ya juu
Ni sehemu za makazi mapya za kuanzia 2005 ndio zina shida sana za maji. Kinachotakiwa ni Serikali kunakogawiwa viwanja na watu wanajenga waweke huduma za jamii kama maji na umeme, bora hats hospitalit ziwe mbali maana kuugua kwa mwaka sio kila siku. Maji ni kila dakika yanahitajika kwa kila kaya.Miaka zaidi ya hamsini bado mnalia shida ya maji, tena town? Lichama gani kwanza linaongoza hiyo manispaa? Huyo ndio mchwa mwenyewe!
Hili la upungufu wa maji hata kama lipo lakini si kwa kiasi kikubwa, kwani hata kipindi maji yapo mengi tu lakini tatizo bado lipo.Tunailaumu serikali bure ila tuwalaumu wale wakata miti na wachoma mkaa pia wale waliovamia kule kwenye vyanzo vya maji hawataki kutoka kwa ajili ya hizo siasa na siasa ndio zinaturudisha nyuma maana badala ya kufanya kazi za kusaidia wananchi wanaogopa kukosa kura kwenye chaguzi zao hii inaturudisha nyuma sana,maji mengi morogoro yanaishia kwenye mashamba ya wavamizi wanayafungulia hayafiki kwa wananchi wakienda kutolewa polisi wanapigwa wanasiasa wanasema waachane hayo mambo nilitashuhudia yakaniumiza sana
Yaani ni aibu aibu aibu.Miaka zaidi ya hamsini bado mnalia shida ya maji, tena town? Lichama gani kwanza linaongoza hiyo manispaa? Huyo ndio mchwa mwenyewe!
unakuta masika mvua nyingi, lakini maji bado shida halafu magari yanapita yanauza maji..! kama maji hakuna au kuna upungufu wa maji kwanini wanapata maji ya kuuza ktk maari? wametandaza mabomba kule kihonda, mkundi lakini hayatoi maji....!! ama kweli mamlaka imeamua kufanya biasharaHili la upungufu wa maji hata kama lipo lakini si kwa kiasi kikubwa, kwani hata kipindi maji yapo mengi tu lakini tatizo bado lipo.
Tatizo mamlaka imeamua kufanya biashara na si kutoa huduma, maji ya kuwauzia wenye magari wanayo lakini ya kusambaza kwa wananchi hawana.
hayo magari zaidi ya 80 yayouzwa maji unafikiri yanauzwa togwa?Morogoro mjini kuna shida ya maji?unaijua shida ya maji wewe?au unaropoka?kipindi naishi morogoro,maji yanatoka alfajiri mpk saa 5 asubui.
Acha uzushi wewe moro imekuwa maradufu wanashida kubwa sana ya maji maeneo kama kihonda mwisho manyuki yespa nk nitatabu tupu wewe miaka 4 haupo halafu unaongea nini sasaNmeondoka morogoro miaka 4 iliyopita,sijaona km kuna tatzo la maji kabsa!
Mkuu acha kuniita mzushi,nmekuambia nmeondoka uko 2008,nmeishi kihonda bima,sabasaba,mawenzi sokoni!sijawai kuona shida ya maji kwa kweli!Acha uzushi wewe moro imekuwa maradufu wanashida kubwa sana ya maji maeneo kama kihonda mwisho manyuki yespa nk nitatabu tupu wewe miaka 4 haupo halafu unaongea nini sasa
Mkuu moro imetanuka mno ukirudi tena ndio utashanga maeneo mengi mapya hayana maji kabisaMkuu acha kuniita mzushi,nmekuambia nmeondoka uko 2008,nmeishi kihonda bima,sabasaba,mawenzi sokoni!sijawai kuona shida ya maji kwa kweli!