Kuna mtumishi mmoja wa KUWASA juzi katuambia kwamba tulidanganywa kuhusu hilo suala la maji kuwa ya uhakika kama walivyo ahidi.Ile kauli ya Mh: veeepeee alipokuja kutoa shukran baada ya kuwa Raisi......!??? Naskia alisema kuanzia November 01, 2017 . Saa kumi na mbili asubuhiiii maji hayatakatika tena. Hakujua hayo ya umeme
Wengine wanachota maji Lubengela mkuu, yale maji sio salama hata kidogoJamani kama kichwa kinavyo eleza niko hapa kigoma zaidi ya wiki 2 sasa maji hayatoki mji mzima ukiuliza sababu wanasema umeme umekatwa watu wanatesa maji hakuna watu wanachota maji ziwani machafu nasasa nimsim wa vuwa yakilipuka magojwa ka kipundupindu serikali ije navirungu kupiga mamalishe wakati chanzo wanakijuwa [HASHTAG]#zitto[/HASHTAG] uko wapi mwambia jamaa yako sikatibu mkuu wamaji
KUMBE... DUUUUH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kuna mtumishi mmoja wa KUWASA juzi katuambia kwamba tulidanganywa kuhusu hilo suala la maji kuwa ya uhakika kama walivyo ahidi.
Kwaiyo kuna siasa ndani yake? na MH aloahidi kamchezo hako hakukashtukia auuuuuJimbo la zitto machalii ccm analivizia sasa hizo ndio mikakati ya kummaliza zitto
Swissme