Shida na kero ya maji

watu8 dah jiyo ni kwa maeneo mengi sana ya nchi aise nenda shinyanga huko na simiyu utaona shida watu wanayopata kwenye suala la maji
 
Last edited by a moderator:
"Tumethubutu...Tunaweza...na Tunasonga mbele" :A S 39:
 
Hayo ndio maisha boya kwa kila mdanganyika. Ukidanganywa kwa t shirt unalipia namna hii. Chama twawalaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…