Shibuda aumbuka

daniel merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
277
Reaction score
98

Kwa maoni yangu shibuda ameanza kujipendeza kwenye chama chake cha zamani ili ateuliwe kugombea ubunge baada ya kuona hana nafasi tena UPINZANI

Chanzo;Tanzania Daima
 
Kumkomesha mwongo nikumuwekea facts ale tu hizo fedha za CCM na adui wake Makamba hayupo basi atagombea Maswa kwa ticket ya CCM na vijana watambwaga
 
Shibuda amepata kichaa cha kisiasa siyo muda mrefu ana weza kuanza kuokota makopo jalalani.
 
NGUZO TANO ZA UISLAM na sio SABA katika UIslamu hakuna nguzo saba .Yaani mnachomekea tu !
 
Kwa maoni yangu shibuda ameanza kujipendeza kwenye chama chake cha zamani ili ateuliwe kugombea ubunge baada ya kuona hana nafasi tena UPINZANI

Chanzo;Tanzania Daima
Khaa!! Sikiliza wewe. Shibuda ni mwanasiasa.Anaishikwa kiutegemea kazi ya siasa. Na mfumo wetu jinsi ulivyo lazima afanye kazi kwenye chama cha siasa. Sasa wenye chama ambacho anafanya kazi sasa haelewani nao na hili ni jambo la kawaida sehemu za kazi. Sasa unataka akatafute kazi polisi?? Lazima atafute chama kingine cha siasa aendelee kupata ugali wake. Na hili linaweza kutokea kwako au kwa Dr Mnyika, au Dr Lissu pale mtakapo shindwa kuelewana na mwenye chama. Wakati mwingine tusipotezeane muda tutafakari mada za kuleta kwa maGT 😛eep:
 
Kwani tanzania daim tangu lini linaandika ukweli we ndiyo hewa kabisa na gazeti lako.
 
Shibuda amepata kichaa cha kisiasa siyo muda mrefu ana weza kuanza kuokota makopo jalalani.
Bahati nzuri shibuda anajitambua vema kuliko wanachadema wote anachofanya anakijua vema chadema hamtamweza kamwe ni zaidi ya mnavyodhani.
 
Rohombaya hoja yako inaingia akilini. Watu maginalized ktk vyama hawaondoki bali hiyo ni constructive termination.
 
Mzee wa TISS huyu msihangaike nae;alikuja kufanya kazi alotumwa na sasa mnamuelewa
 
Kwa maoni yangu shibuda ameanza kujipendeza kwenye chama chake cha zamani ili ateuliwe kugombea ubunge baada ya kuona hana nafasi tena UPINZANI

Chanzo;Tanzania Daima

Usaliti ni tabia ambayo inakua; ikishaanza inaendelea tu labda hadi mtu afe!
 
mbunge yeyote atakayejiengua chadema ajue umaarufu wake utakwisha na akijitia kugombea kupitia chama chochote kile lazima atalia machozi, amuulize Bayo wa Arusha alipojiengua chadema na akagombea udiwani kupitia CUF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…