Wile GAMBA JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 1,809 Reaction score 595 Jul 24, 2012 #21 amepoteza muelekeo, au ni kama video ukiweka kanda yoyote inacheza ndiyo akili za huyu bwana
SHEMGUNGA JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 667 Reaction score 149 Jul 24, 2012 #22 Kaina dalil za kutoswa 2015 dat why inabid ajitetee siasa imeshamshinda duu!!
kapotolo JF-Expert Member Joined Sep 19, 2010 Posts 3,727 Reaction score 2,221 Jul 24, 2012 #23 Shibuda Ndege au Mnyama
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Jul 24, 2012 #24 kapotolo said: Shibuda Ndege au Mnyama Click to expand... Shibuda Kinyonga
Michael Scofield JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 1,225 Reaction score 473 Jul 24, 2012 #25 Siku ya jumamosi mabwepande wote walikuwa wako kwa naibu spika Job Ndugai, wanakula nyama Kongwa Farm. kwa wanaokumbuka alilinadi shamba lao hilo! cha ajabu yy mwenyewe hakwenda pamoja nao!
Siku ya jumamosi mabwepande wote walikuwa wako kwa naibu spika Job Ndugai, wanakula nyama Kongwa Farm. kwa wanaokumbuka alilinadi shamba lao hilo! cha ajabu yy mwenyewe hakwenda pamoja nao!
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 24, 2012 #26 Unafiki ni sumu mbaya sana katika ustawi wamendeleo na kujipambanua misimamo ya kinafiki nako ni kubaya sana kuliko ugonjwa wa ukoma
Unafiki ni sumu mbaya sana katika ustawi wamendeleo na kujipambanua misimamo ya kinafiki nako ni kubaya sana kuliko ugonjwa wa ukoma
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,258 Reaction score 13,265 Jul 24, 2012 #27 Hata kenge ukimuangalia kwa haraka,unaweza kufikiri ni mamba.