ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,996
- 61,230
Kwa hiyo Mungu anasema alimuumba we unasema hayupo
Kama Mungu akisema kitu kinakuwa,akisema dunia kuwa inakuwa,akisema maji kuwa yanakuwa..hashindwi kitu...unadhani kwanini alipomwambia shetani amsujudu Adam huyo shetani akakataa,,kwanini Kama anachosema kinakuwa..huyo shetani alikataa ambaye hayuko huru kwa sababu ameumbwa na Mungu according to mtazamo wenu.Au na malaika na wenyewe wanajiamulia mambo Kama wanadamu?Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno,.lakini si kwa neno lako hili ndege,.
Kwa hiyo kama c shetani ni nani aliambiwa amsujudie Adam?Kama Mungu akisema kitu kinakuwa,akisema dunia kuwa inakuwa,akisema maji kuwa yanakuwa..hashindwi kitu...unadhani kwanini alipomwambia shetani amsujudu Adam huyo shetani akakataa,,kwanini Kama anachosema kinakuwa shetani alikataa ambaye hayuko huru kwa sababu ameumbwa na Mungu according to mtazamo wenu.
Wana wa adamu(Sisi) ndio tulipaswa tufuate ambacho adam alipaswa afanye yaani kusujudu maanake Ni kutotamani kuwa wabunifu zaidi ya kile ambacho tunatakiwa tuwe ndani ya range yake...Sisi tunaendelea kukataa maagizo na hekima za wazazi wetu au wanadamu wenzetu waliokuwa waaminifu.Sisi ndo malaika waovu..tunakataa kuwa chini na kukubali kuwa walioamua kuwa waadilifu Wanapendwa zaidi na MUNGU kwani hawatamani kutunga ya kwao ya uongoKwa hiyo kama c shetani ni nani aliambiwa amsujudie Adam?
AmenImani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno,.lakini si kwa neno lako hili ndege,.
Hili hitimisho lako umelitengeneza kutoka kitabu cha dini gani ?Hakuna kiumbe ambaye anayeitwa shetani wengi mlishindwa kuelewa kwa usahihi ile stori kuhusu malaika mkuu kutaka kufanana na MUNGU na kisha kutupwa huku duniani na kuwa shetani..ukweli wa Mambo Ni kwamba wanadamu wa wasiomsikia Mungu(waasi) hata Sasa ndio wanaoitwa mashetani.kitendo Cha wewe kufanya dhambi(ujinga) kwa makusudi Hali ukijua MUNGU alikataza Ndio kitendo ambacho humaanisha kutamani kuzijua Siri za Mungu ili uwe kama yeye.so automatic Mungu ameshakushusha chini wewe na wafuasi wako utakutana nao watenda dhambi wenzako.so hamna shetani mmoja Kama mnavyofikiri badala yake wote ambao wanakataa Ile Hali ya kubaki kuwa malaika(kubaki kuwa mwadilifu) ndio ambao walishushwa/wanaendelea kushushwa ili litimie Lile andiko kuwa aliwashusha malaika.Nyingine hizi mnazozijua Ni stori tu za maisha Ila stori kubwa kabisa mbayo ndo msingi wa yote kuhusu mahusiano ya Mungu na wanadamu Ni hii niliyowapa.
Ni utoto wa hali ya juu kuamini Kama Kuna watu wanazuia mvua kunyesha - JamiiForums
Uongo na ukweli tofauti yake Ni inch 2.5 - JamiiForums
Miss yuuu wiii😍