Wakuu,
Naomba kufahamishwa utaratibu wa kisheria juu ya hiki kitu kinachoitwa 'notification' ambacho polisi wa traffic hukuandikia wakikubaini na kosa.
- Napaswa kulipa hapo kwa hapo? Je polisi anapaswa kunipa documents zipi? Notification yenyewe na risiti au notification peke yake?
- Napaswa kwenda kituo cha polisi kulipa?
- Kama jibu ni 2 hapo juu, kama sikuenda, polisi watanipataje tena? wana-active system ya ku-track?