Tangu maandamano yaliyopelekea watu wasio na hatia kufa Arusha, CHADEMA kimekuwa chama cha MAOVU tangu siku hiyo hadi leo. Hakuna asiyefahamu uovu huo unaoongozwa na viongozi wao; MAUAJI, KUJERUHI, KUHARIBU MALI, UPORAJI na UKABAJI KWENYE MAANDAMANO, UTEKAJI, KUTISHIA AMANI YA NCHI, KUHAMASISHA UVUNJAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA NCHI, KUTENGENEZA WAVIVU WA KUCHANGIA SHUGHULI ZA MAENDELEO, UPINGAJI WA KILA KITU, MACHAFUKO na mengine mengi.
Tumekuwa tukisikia magazeti kufungiwa, vituo vya tv, radio, timu za mipira, n.k kwa kukiuka maadili.
Inakuwaje chama hiki hakijafungiwa ama kufutwa kabisa kwa uovu huu uliokithiri?
Ni dhahiri msajili wa vyama hajapewa meno ya kutosha. Hii taasis ya usajili wa vyama yapaswa kupewa meno makali kwa mustakabadhi wa siasa safi na ya kistaarabu. Matukio yanayofanywa na chama hiki siyo ya kibinadamu bali ni ya kishetani, kihaini, kigaidi, eta kwa sababu tu kina usajili na kipo kihalali na kisheria.
Pamoja na sheria za uchaguzi zinazotungwa, ni vema zikawepo sheria kali za kuthibiti vyama vya siasa.
Buku 7 zinaweza zikaondoa utu wa mtu kabisa..
maovu mengine ya chadema haya hapa
1. kulipuwa mabomu soweto~mbowe & lema
2.kumwagia watu tindikali-henry kilewo
3.kutembea na sumu ya kumlisha zito~ben saanane & slaa
4. kupanga kumteka.msacky~lwakatare
5. chacha wangwe-mbowe & deus mallya
Mkuu njaa haina adabu.
Tangu maandamano yaliyopelekea watu wasio na hatia kufa Arusha, CHADEMA kimekuwa chama cha MAOVU tangu siku hiyo hadi leo. Hakuna asiyefahamu uovu huo unaoongozwa na viongozi wao; MAUAJI, KUJERUHI, KUHARIBU MALI, UPORAJI na UKABAJI KWENYE MAANDAMANO, UTEKAJI, KUTISHIA AMANI YA NCHI, KUHAMASISHA UVUNJAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA NCHI, KUTENGENEZA WAVIVU WA KUCHANGIA SHUGHULI ZA MAENDELEO, UPINGAJI WA KILA KITU, MACHAFUKO na mengine mengi.
Tumekuwa tukisikia magazeti kufungiwa, vituo vya tv, radio, timu za mipira, n.k kwa kukiuka maadili.
Inakuwaje chama hiki hakijafungiwa ama kufutwa kabisa kwa uovu huu uliokithiri?
Ni dhahiri msajili wa vyama hajapewa meno ya kutosha. Hii taasis ya usajili wa vyama yapaswa kupewa meno makali kwa mustakabadhi wa siasa safi na ya kistaarabu. Matukio yanayofanywa na chama hiki siyo ya kibinadamu bali ni ya kishetani, kihaini, kigaidi, eta kwa sababu tu kina usajili na kipo kihalali na kisheria.
Pamoja na sheria za uchaguzi zinazotungwa, ni vema zikawepo sheria kali za kuthibiti vyama vya siasa.
ndugu yangu angalia CHADEMA itakupa pressure. naamini kwa Tanzania yetu hakuna chama kinajali maslahi ya watanzania. tena afadhali hao unaowatuhumu kuwa wauwaji na wahaini kuliko hao wanaojifanya wanajali wanachi kumbe wezi tu. kama nyie CCM ndio mnadola inakuwaje mnavumilia chama cha wauaji na wahaini? achana na siasa uchwara zitakukondesha bure wewe kijana.
Maccm punguzeni unyonge na udhaifu... si uende ukashitaki polisi, its simple like that...Tangu maandamano yaliyopelekea watu wasio na hatia kufa Arusha, CHADEMA kimekuwa chama cha MAOVU tangu siku hiyo hadi leo. Hakuna asiyefahamu uovu huo unaoongozwa na viongozi wao; MAUAJI, KUJERUHI, KUHARIBU MALI, UPORAJI na UKABAJI KWENYE MAANDAMANO, UTEKAJI, KUTISHIA AMANI YA NCHI, KUHAMASISHA UVUNJAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA NCHI, KUTENGENEZA WAVIVU WA KUCHANGIA SHUGHULI ZA MAENDELEO, UPINGAJI WA KILA KITU, MACHAFUKO na mengine mengi.
Tumekuwa tukisikia magazeti kufungiwa, vituo vya tv, radio, timu za mipira, n.k kwa kukiuka maadili.
Inakuwaje chama hiki hakijafungiwa ama kufutwa kabisa kwa uovu huu uliokithiri?
Ni dhahiri msajili wa vyama hajapewa meno ya kutosha. Hii taasis ya usajili wa vyama yapaswa kupewa meno makali kwa mustakabadhi wa siasa safi na ya kistaarabu. Matukio yanayofanywa na chama hiki siyo ya kibinadamu bali ni ya kishetani, kihaini, kigaidi, eta kwa sababu tu kina usajili na kipo kihalali na kisheria.
Pamoja na sheria za uchaguzi zinazotungwa, ni vema zikawepo sheria kali za kuthibiti vyama vya siasa.
wewe endelea kushabikia tu ila uombe mungu pia usijepatwe na hayo matukio kama kumzika ndugu yako, ama kumwagiwa tindikali, n.k. Yule dereva wa mwigulu alikuwa ana kosa gani? Alichofanyiwa na cdm ni cha kulaani. Kwa kauli yako ni sawa na kuunga mkono na kushangilia uovu ule. Omba Mungu yasikupate! Unaweza ukakaa bar unakunywa kwa starehe zako, ikarushwa chupa ikakujeruhi japo hukulengwa!
Machoni kama watu,moyoni hawana utu.........chama pekee kinachotakiwa kufungiwa au kufutwa kabisa ni ccm maana kimeshindwa kwa % 89 kutekeleza sera zake na badala yake inatekeleza mauaji ya raia wasiokuwa na hatia