jane_000 JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 547 Reaction score 43 Feb 23, 2012 #1 wana jf ukifumaniwa na mume wamtu unawezwa kupelekwa mahakamani au ?
ngulinho JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 405 Reaction score 97 Feb 23, 2012 #2 server not found!
M mkazamjomba Member Joined Jan 27, 2012 Posts 61 Reaction score 21 Feb 23, 2012 #3 kufumaniwa na mume wa mtu? kwani mahakamani nangojea ya nini ni kubondwa kwa kwenda mbele
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Feb 23, 2012 #4 jane_000 said: wana jf ukifumaniwa na mume wamtu unawezwa kupelekwa mahakamani au ? Click to expand... inategemea ni sheria ipi unayoituma. na huyo aliyekufumania yuko kwenye mudi gani mpaka maana by the time unafika mahakamani huko nyumbani wamekaa matanga
jane_000 said: wana jf ukifumaniwa na mume wamtu unawezwa kupelekwa mahakamani au ? Click to expand... inategemea ni sheria ipi unayoituma. na huyo aliyekufumania yuko kwenye mudi gani mpaka maana by the time unafika mahakamani huko nyumbani wamekaa matanga
TaiJike JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 1,482 Reaction score 669 Feb 23, 2012 #5 jane_000 said: wana jf ukifumaniwa na mume wamtu unawezwa kupelekwa mahakamani au ? Click to expand... Jane leo umefumaniwa nini? subiri kukeketwa tu.
jane_000 said: wana jf ukifumaniwa na mume wamtu unawezwa kupelekwa mahakamani au ? Click to expand... Jane leo umefumaniwa nini? subiri kukeketwa tu.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Feb 23, 2012 #6 Nadhani kipigo utakachokipata ni bora hata kupelekwa mahakamani na kujipatia hukumu siku hiyo hiyo
N Nyuki baby Member Joined Feb 24, 2012 Posts 85 Reaction score 8 Feb 25, 2012 #7 Utananiiwa 1 ndipo unapelekwa polic
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,660 Feb 25, 2012 #8 Jamani Jane anataka kujua kama ni kosa la kushtakiwa mahakamani? Wadau wa sheria hii imekaaje?
C chief72 JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 627 Reaction score 309 Feb 28, 2012 #9 alokufumania lazima ahakikishe anaita shahidi, pia hati ya mashitaka hakikisha haikosewi katika kuandikwa otherwise mshitakiwa atashinda kiurahisiiiiii
alokufumania lazima ahakikishe anaita shahidi, pia hati ya mashitaka hakikisha haikosewi katika kuandikwa otherwise mshitakiwa atashinda kiurahisiiiiii
Dachr Senior Member Joined Aug 25, 2011 Posts 110 Reaction score 8 Feb 29, 2012 #10 Leaving certificate>>GOOD<< Result sleep Thinking 15% Utegemezi100%