Sherehe zenu Huko Huko Dodoma

watanzania chenga sana hata kama katiba ingesema wanaume wote lazima waliwe viboga ingepitishwa tu na kwenye kura za maoni wangepiga kura za ndiyo nyingi iwezekanavyo
 
Wananchi tuta waonyesha sasa nani zaidi manina. wala mambo ya serikali mbili au tatu mhayana uzitu mimi ni swala na elimu ya mbunge , na kumwajibiusha mbunge pale anaposhindwa kufanya kile tulichomtuma. Na hii tabia ya raisi kuteuwa teuwa wabune na kuwafanya mawaziri ni shida coz hata kufanya mipango ya ajabu ajabu inakuwa rahisi, ukishateuliwa huwezi kuwa na sauti kwa yule aliekuweka hata akusema upuuzi lazima uukubali tu
 
kuna limoja lilikuwa linakatika mbaya sijui alikuwa kaahidiwa nini
 

Mh kazi ipoooooooooo
 

Tunachotakiwa kufanya ni kujiandikisha kwa wingi na bado tuzidi kuelimishana kwa nini tuseme HAPANA.Ili tuweze kujiweka vizuri kudhibiti maliasili na Uchumi wetu ni lazima kusema hapana vinginevyo TANZANIA tutazidi kuwa maskini mpaka kiama.
 
sherehe za maccm huko dodoma siyo kitu kwetu kwan wanadhan wameshamaliza kazi kumbe bado,,,mtaan wanasubiriwa sana si kwa fujo wala vicheko bali ni kwa referendum
 
Raisi tushakusikia uliyotwambia na kutueleza kwa kutuchangia akili yako sasa huku mitaani baada ya akili ya kuchangiwa na wewe tutatumia akili zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…