G Glad Member Joined Nov 29, 2010 Posts 25 Reaction score 1 Apr 26, 2011 #1 WanaJF wenzangu mimi nauliza je JK atatoa hotuba leo? Au atapotezea tena! Nimewasikiliza watangazaji wa TVZ na TBC1 wakidai ni bora leo atoa hotuba ili kukidhi matakwa wa watanzania wengi. La sivyo..............
WanaJF wenzangu mimi nauliza je JK atatoa hotuba leo? Au atapotezea tena! Nimewasikiliza watangazaji wa TVZ na TBC1 wakidai ni bora leo atoa hotuba ili kukidhi matakwa wa watanzania wengi. La sivyo..............