Sherehe za Muungano zadorora

Lijade

Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
14
Reaction score
3
Sherehe za Muungano wa JMT zimepwaya . Sherehe hizo ambazo mkoani KAGERA wilaya ya Kyerwa, kata ya Isingiro ambapo mkuu wa mkoa Kanali Fabian Massawe watu wameshindwa kujitokeza kwa wingi.

My take; Kuna haja ya kuhakikisha kuwa elimu kuhusu muungano inatakiwa kwa wananchi wote hasa vijijini.
 
Tatizo hatujui ni muungano wa nchi zipi,
Mimi huwa najiuliza ni nchi gani ziliungana.kama Tanganyika na Zanzibar,mbona Zanzibar ipo na nchi yangu Tanganyika haipo?
Au ni muungano wa Pemba na Tanganyika?
 

Hotuba toka kwa walioshiba lakmini wameja ufedhuli na udhalimu haki za msingi za wanadamuy zinakandamizwa zinashamiri hakuna mwenye njaa atajitokeza kuwasikiliza wala Nchi
 
Tatizo hatujui ni muungano wa nchi zipi,
Mimi huwa najiuliza ni nchi gani ziliungana.kama Tanganyika na Zanzibar,mbona Zanzibar ipo na nchi yangu Tanganyika haipo?
Au ni muungano wa Pemba na Tanganyika?

Ni muungano wa Tanganyika,Zimbabwe na visiwa vya Unguja.Ilikuwa mwaka 11964.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…