Salaam, sherehe za maadhimisho ya muungano zinafanyika wapi? Nataman kuwa mmoja wa wahudhuriaji wa sherehe hizo, mwenye mialiko nikumbuke bac na Mimi, natanguliza shukran, ubarikiwe sana
26.4.2014 home napika bonge pilau kuku kisha natinga uhuru stadium saa tatu asubuhi tu baada ya hapo narudi home nalipiga pilau kisha nakwenda kusherekea cocobeach maana huu muungano ndiyo utanzania wangu na ndiyo sikuku ninayoipenda kuliko zote hapa duniani. Viva tanzaniaaaaaaaa

Ukienda saa tatu unaweza usiingie ndani, sherehe za mwaka huu zitakuwa kubwa, watu wengi, halafu kauwanja kadogo.
Kama una nia ya kwenda nenda saa kumi na mbili asubuhi, ukichelewa sana nenda saa moja....baada ya hapo we pumzika tu home.