Sheng

Haha ukaitupa, si ungeisunda huko baze, tena akiipata umshow ni ya sis yako, hata leo bado hajui.
Ati ya ssta yangu? Huyo shoree ako tight na ssta yangu, unaeza dhani ndo masistaz xaxa. Besides, anajuanga mastuffz zake zote! Zii, hiyo haingework. Nilipanick.
 

Alafu niaje wote hudruggiwa huwanga mabudda? Sijawahi skia msee ako below 35 ati ameduiwa hivo, (okay, mamanzi nao huspikiwa madrinks kwa bar kulunguliwa, lakini machali?)

Yaani hao wakiget tu dough huzibeba zote hata ka ni ngiri 500, ati kuimpress mamanzi.
Halafu huendea twale t'totoiz t'young twa colle, size ya wajukuu! Hawarealize sikuizi kumebadilika, ni kunoma jo!
Si kama zile enzy zao
 
Labda wanadhani hawajachange, lakini hawa madere wa matrailer siskiangi stori ka hizo, hawo huwa wanajua kuwatreat vizuri, i think ni nai na labda mombasa ndio wamejanjaruka hivo, hawa wa utu tu town tudogo hawanaga ujanjez mob.

Na vipi wewe unaclande manzi yako, mi husema kama lazma ukule nje basi fanyia kwake always, usiwahi mleta kwako.
 
We! Ati? Hapo...
Huyo mdhi risto yake nimeanika hapo juu, si walichukua taxi kuelekea kwa keja ya huyo dem. Ikakuaje? Haijulikani. Pengine dem alipanga hiyo mishoni na huyo dere wa taxi, hatujui, buda naye ajui...
Kumpeleka kwako pia enyewe inaeza kuletea noma, kuna kjamaa aliamka morning akakuta keja yake imefagiliwa empty!

Ujanja hapa ni kumpeleka lodging na usebebe dough mob. Pia, chunga sana na hiyo kenye unakunywa. Hiyo chupa ya tusker ulijiopenia mwenyewe, sio?...
 
Enyewe lazma ukae rada na hawa mapokos, anyways Juma huwaga jina la wajaka ama wasee wacoasto, ju nimecheki waislamu wengi waitwa juma na pia wajaka wengi ???
 
Enyewe lazma ukae rada na hawa mapokos, anyways Juma huwaga jina la wajaka ama wasee wacoasto, ju nimecheki waislamu wengi waitwa juma na pia wajaka wengi ???
Ah, iyo nayo kitu ingine sikwagi sure nayo kabsaa. Lakini nafkiri wajaka ndo waliborrow from wacoasto.
Nishaskia wasee wengi wajaka wanaitwa Juma lakini hiyo jina hainikalii kijaka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…