Shemeji yangu jamani

stori zingine hizi bana ni za kuinuana minazi........ulishaanza kuinuka huku hembu imalizie basi stori najiona kama ndo mimi vile hilo zali la kumsukuma mlevi

haaaaaahaaaaa et Minazi duuuuh!
 
kwenye hadithi za mapenzi we ni mkali Omba ajira chuo cha mapenzi bagamoyo.
 
hahahahah hayo ulotema ni mate au kama vile wanavyofanya tambiko!! lol

Ipo siku atakuja mtu hapa na kuanzisha thread kwamba ....Nimebaka....kwenye contents ataanza kumsifia binti mwenye miguu ya kitu gani sijui kisha atakuja kueleza siku alomshawishi kwa chips mayai hadi akamwingiza ndani kisha akabaka, halafu ataomba ushauri....
 
Ni bora juzi ulivomgegeda x wako kuliko kumfanya huyo mdogo wa mkeo
I guess next week utamfanya mama mkwe
nahisi kumuonea huruma mkeo mbona unamuumiza kiasi hicho ni kipi kikubwa anachokuudhi????

Mi nahisi hana hata huyo mke, analeta mambo ya kufikirika tu
 
Huyu ni character wako au ni wewe. Ila kuna vitu viwili mhusika anavihusudu sana.

Kuchezea Chuchu Ngumu Kila Mara
Umbo na Rangi ya Irine Uwoya

 
Watu mna technics hapo shida zoooote anamtaka Irene Uwoya!!
 
Mi mwenyewe nimesoma hii hadisi nikimuwaza Evelyn Salt...!!! (maadili weka pembeni, vutia picha, save page..for matumizi ya jioni)

Ila manuu umejiuliza kwa nini mkeo naye kakuruhusu kirahisi tu hivyo??! #shtuka geuza gari ukachungulie...
Mentor sijui kwa nini nimepita hapa mida ya Lunch, wana wananisubiria nje kwenye parking tukale mimi nimetulia kwenye kiti changu ofisini nasubiria dushelele litulie Limetuna mbayaaaaa bro
 
Last edited by a moderator:
Mentor sijui kwa nini nimepita hapa mida ya Lunch, wana wananisubiria nje kwenye parking tukale mimi nimetulia kwenye kiti changu ofisini nasubiria dushelele litulie Limetuna mbayaaaaa bro

kazi ipo!
 
Last edited by a moderator:
Huna huruma na mkeo kama kweli yupo kwani sio siri unamtesa sana. mi wala hata sijamuelewa, kati ya shemeji na uwoya sijui hata anampenda nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…