Shemeji yangu jamani

Kiongozi inaelekea uko na usongo sana na Uwoya, huishi kumtaja!!
 
stori zingine hizi bana ni za kuinuana minazi........ulishaanza kuinuka huku hembu imalizie basi stori najiona kama ndo mimi vile hilo zali la kumsukuma mlevi
 

Mkeo alikua anakutoa analeta mwanaume ndani kidizain fulani hiv ful mchepuo
 
Picha ya shemeji yeti pls mkuu
 
Wewe manuu unaqualify kupewa uenyekiti wa team bazazi jf. Ngono ngono tu!
 
Last edited by a moderator:
Huyu manuu naona kaanza kampeni ya kutuletea mabalaa. Hii stori ya pili yenye utata mtupu
 
Last edited by a moderator:
Aiseee!!! unaapia chini kwa udongo au? Evelyn SaltNjoo na wewe apa utoe ushuhuda wa Manuu...

Mi mwenyewe nimesoma hii hadisi nikimuwaza Evelyn Salt...!!! (maadili weka pembeni, vutia picha, save page..for matumizi ya jioni)

Ila manuu umejiuliza kwa nini mkeo naye kakuruhusu kirahisi tu hivyo??! #shtuka geuza gari ukachungulie...
 
Last edited by a moderator:
kwenye thread zako huwa nauona umuhimu wa mkuu lusungo,aje akupe dozi hata 12×1.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…