.....Shemeji unatakaaaa nigombane na kaka ni kipi hasa wewe unachotaka mara kila kukicha unafanya vibweka....KWELI UNANITEGA SHEMEJI.....
REEEEEEAMIXX......shemejiii shemejiiii shemejiiii unanitoa udedeee unanitoa udedeeeeededenda shemejiii....!!!!
Utakuta king'ang'anizi kweeeeli ila kweny 6X6 kama litoto lidogo. Lina hangaika-hangaika hapo alafu dk. mbili chaliii. Linamuacha binti wa watu njia panda.