Oscar Pius Blog
Member
- May 5, 2015
- 34
- 67
Na wewe mtake tu. Maanake wamekuwa cha wote....wengi wao kama huyo shemeji yako hawajitambui wanawaza ngono tu.Msaada wanaJukwaa wenzangu,Kuna mfanyakazi mwenzangu ana mpenzi wake na namfahamu hata yeye ananifahamu ila kwa sasa naona kaanza kunitaka mimi kimapenzi kitu ambacho staki kumvunjia heshima rafiki angu,Nimejaribu kumueleza Kila kitu Juu yangu hasa Undugu na Jamaa angu ila hataki kuelewa.Inanipa wakati mgumu sana kwa sasa
Naomba mnishauri la kufanya maana kumwambia Jamaa ana hasira na anaweza mfukuza au Akamuumiza kwa Kumpiga
Umeniwahi mkuuuwe unaskiliza redio siku mojamoja,kuna mtu anaitwa MAN FONGO - hainaga ushemeji tunakulaga
Kimeta kapita, msaga sumu kapita, Athuman kapita[emoji1] [emoji1]uwe unaskiliza redio siku mojamoja,kuna mtu anaitwa MAN FONGO - hainaga ushemeji tunakulaga