Sossy Mwasi
Senior Member
- Jul 19, 2015
- 190
- 23
Dah! Hata hili la kuomba ushauri.
Mwanaume ameumbwa kifua.
Nafikir kuna wakat mtu unatakiwa ufikirie vyema na pasipo shaka...unafikiri had kukuambia hivyo hajawahi fanywa?
Nikiwaza Nikafikia Hapo Ndo Nachanganyikiwa Kabisa Nataman Kumuacha Lakin Bdo Nampenda.
Mimi nimejiuliza tu,,hiyo ndoa yako ina muda gani? Je una mtoto/watoto? na kama ndoa ni changa mlikaa uchumba wa muda gani?
Je kwa muda wa Uchumba au wa ndoa unaishi naye au una kaa mji mwingine/pengine kikazi?
Siamini kama mwanamke anapata wapi huo ujasiri labda awe alianza muda mrefu na kufanya siri...
Kama mmekaa kwa kipindi kina cho zidi mwaka na hukuona hiyo hali
Unatakiwa ujilize,
Sijaona Na Sina Watoto Mkuu.Wote Ni Wanachuo Tu.
Mimi nilifikiri mke kumbe ni girl friend...
Wewe unajua kabisa madhara yake kwake lakini na kwako pia...
Achana naye....
Kula mambo achq uzembe . Sunna hiyo