Shemeji haeleweki jamani!

rafiki gani msiri hivyo/huyo jamaa anacheza mchezo mchafu,inawezekana hata huyo anayeongea naye kwenye mtandao si yeye ni rafiki zake,she is toying with a girl,tell your shemeji to come to her sense,the guy could have a wife or other concubines....she will become like an old cloth/rag in no time ready to be throwed away....girls open you eyes dont be carried with your emmotions you may end up in a ditch,dont trust men easily.....
 
Kwanza una kurupukaje kumpeleka mwanamme nyumbani kwako kirahisi hivyo? Huyo jama keshaona Kama Huyo rafiki yako sie ndio mana akaanzaa kumuanzia vituko, sasa mwambie akamuonyeshe na ATM kuna ngspi ili ampende zaidi...

sio lazima thred zote ucoment, nyngine pita tu. Ni ombi tu
 
Kwanza una kurupukaje kumpeleka mwanamme nyumbani kwako kirahisi hivyo? Huyo jama keshaona Kama Huyo rafiki yako sie ndio mana akaanzaa kumuanzia vituko, sasa mwambie akamuonyeshe na ATM kuna ngspi ili ampende zaidi...

huyo shosti wako ana ukame nn wa kutongozwa na watu wanaojielewa ndio maana anashindwa kujiongeza na kuchanganua ukweli wa mambo.sometimes exposure inasaidia jamani.

sidhani kama unaelewa the meaning of love, hujawah kusikia chongo mtu anaita kengeza.
 
100% ni mme wa mtu huyo..kwa sasa hapokei tena simu ngoja zikimshika atakuja atasema aliwekwa ndani wiki mbili na polisi wakamnyanganya simu kwa kesi ilee niliyokwambiaga. rafikiyo atakubali ataliwa tena thn shemejiyo atarun tena tena tena na tena
 
Mambo mengine bwana

Kwani walizaliwa wote, na wanaume wameisha au?
 
 
sasa we unajuaje kuwa wamesex mara 1? hii story inakuhusu wewe acha kuficha.
 
Mmmmmmhhh! Kuna harufu ya kutapeliwa mtu moyo wake!
Naomba kupita, Over!
 

aachane nae cos hajamjua vizuri and its hard for her to knw him .
And beside bidada pamoja na mapenzi akili hana!! We miezi mitatu umekuwa huru ivo jamani! Hmm au me ndo mshamba!
Okay sio mbaya sana kama mtu angekuwa the same... Apo ukute ana mke na watoto ama criminal! Ningekuwa mimi nasehemu nahama..af nampotezea mazima! Siendekezi ujinga
 
sidhani kama unaelewa the meaning of love, hujawah kusikia chongo mtu anaita kengeza.
Haija khusu chongo hapo wala kipofu,hakutakiwa ampeleke mwanamme hata humjui vizuri unampeleka kwako dunia yenyewe hii wengi waume wanavaa ngozi ya kondo..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…