Mkuu pole hii tabia imekithiri sana,anataka msiguane VI**mihabari ya hapa!!!!!!
naomba ufahamu kuwa sipendi tabia ya ushoga / usagaji. habari ya kutaka kunitumia kadi ya benki na mirathi uliyoachiwa na wazazi wako ili nikutunzie mpaka utoke huko nnchi za watu sihitaji nilishakuambia usagaji sitaki am a girl and not boy! mitego yako nimeitambua kama ni uhaba wa hela matunzo yaliyopo yananitosha........ na sijui nani kakwambia upekue maprofl ya watu fb na kuondoka na namba za watu huku hata huwajui unaanza kumtongoza mtu japo unaambiwa mimi ni KE mwenzio wew unakomalia haina tabu umezoea ooh kama nataka hela utanikabidhi kikadi cha benki jamani!!!!!! pia wale walionijaribu hapo zamani huko PM baada ya kuniona kimya saivi mmeibuka tena...
nasema ivi (msisitizo) shemale mnikomeeeeeeee.
Mkuu mtumie picha ili akuone na wewe ni ke mwenzieaiseeeee inaboa!!!!! unatuma mi PC ya ajabu kha!!!!!!!! dunia imeisha.
Hata mimi sijaelewa maana hapa wewe umesema watu wamepekua profile yako nakuchukua namba zako FB sasa sijui kosa la mdau aliyesema hizo habari ungeacha Facebook ni lipiivi u
meelewa???????? fb kuna PM?????? rudia kusoma.
Hii ni habar ya KWELI au mnatuzuga??? Nimeona MTU ukimtajia neno PESA hata kama alikuwa na msimamo vipi analegeza
Hii ni habar ya KWELI au mnatuzuga??? Nimeona MTU ukimtajia neno PESA hata kama alikuwa na msimamo vipi analegeza[/QUOT
kwahiyo we pesa mbele kuliko UTU wako?
Kwani ata ukiwapa atakufanyia nini?? Mimi ngoja nikutafute pesa hupewi na unaliwa utaambulia dyudyu tu.Maisha ya sasa yalivyo magumu...kwanini wapuuzi kama hao hawanitafuti?
Pesa nakula na hawapati kitu dadeeeeeki [emoji16]