TAYADI nabashiri namna ulivyo pindua maumbile alokuumba kwa makusidi kwayo Mwenyezi Mungu.
Weye watumia makalio kufikiri na kichwa kwa kuketi, sasa ndo maana sipati ghadhabu juu ya kukutanabahisha kunako majambo....!
Nafahamu wachelewa sana kufahamu namna inavyotakikanika kufahamika.
Huu ni mfululizo wa visa vipatavyo vinne vya kikatili ambavyo vimefanyika Zanzibar, vikiwalenga watu maalumu katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.
Desemba mwaka jana, watu ambao bado hawajafahamika wamlipiga risasi Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar na kumjeruhi vibaya.
Februari mwaka huu aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki katika eneo la Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Hawa wote ni wanyama?Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
Haya unayashabikia?
Wangekuwa mashehe ungechekelea?
inna lilahi wa innailyh ra'juun Allah ampe janatul firdaus in shaa Allah, Ilunga rahimallahu alikuwa an icon of the tanzanian's muslims, shujaa, jemedari, jasiri name it all, alikuwa homa ya wagalatia yaani tishio kwao alisema ukweli bila woga, aliwafungua waislam wengi macho na kuwabainishia mfumo kristo unaotawala, uchafu kwenye baraza la mitihani na dhulma nyingi wanazofanyiwa waislam. Ameondoka lakini ametuachia hazina kubwa ya darsa zake.
the other shit
Shehe ILUNGA anapowaagizeni nyie kuua mapadre, kadinali, walei, maaskofu na wakristo kwa nini hawaagizi muue na waislamu wenzenu?Mie sichekelei bali nakusikitikia weye usotaka kuzifahamu KOMEDI za Kanisani namna zinavyoandaliwa.Ntakureje tena ...
Huo mshale ndivyo mlivyofundishwa na shehe ILUNGA KUUA wakristo?!..Another ghost
Hamia Pakistani, Afghanistani/Somalia au nchi yeyote yenye at least 75% waislamu wewe "muislamu" mfuasi wa Ilunga!
Ajabu ni kuwa "waislamu" (iwe asili yao ni nchi za "kikafiri" au za "kiislamu" wanahamia nchi za "kikafiri" badala ya kuhamia nchi zinazojulikana kuwa ni za kiislamu!
Ua padre!..Huu mchezo/ komedi ya Kanisa itaisha lini mkuu TAYADI ...!?
Ua padre!..
Ua Walei!
Ua Kadinali!
Ua Askofu!
Takbiiir
Hivi haya mafundisho ILUNGA aliyapata wapi? Ni kwa ALLAH ambaye mnatutaka sisi tumuamini?
Waislamu wenye siasa kali wamechoma kanisa mbagala!.. Na Lingine Zanzibar,... Na lingine Tanga?!!!.....Debe tupu ....!
Wamekukurupua mawindo yepi tena weye mla nguruwe...?!
Waislamu wenye siasa kali wamechoma kanisa mbagala!.. Na Lingine Zanzibar,... Na lingine Tanga?!!!.....
Hivi ni Mungu yupi mnayemuabudu? Anayewaagiza kufanya haya na kushangilia?
Zile sanaa zetu za Kanisani mfano kule Olasiti taarifa ziliisha vipi baada ya kukamatwa wale Waislaamu ....!?
Hivi waliotenda haya wanamwabudu nani?Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
Hamia Pakistani, Afghanistani/Somalia au nchi yeyote yenye at least 75% waislamu wewe "muislamu" mfuasi wa Ilunga!
Ajabu ni kuwa "waislamu" (iwe asili yao ni nchi za "kikafiri" au za "kiislamu" wanahamia nchi za "kikafiri" badala ya kuhamia nchi zinazojulikana kuwa ni za kiislamu!
Mambo ya Pengo on System utayaweza weye ...?!
Hivi hawa wanamwabudu nani?!Februari mwaka huu aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki katika eneo la Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Hivi waliotenda haya wanamwabudu nani?
Au wewe ndiye uliye mshambulia Shehe kule Moro?