inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 500
- 420
hana hoja,uwezo mdogo wa kufikiri ni "sheikh ubwabwa" hakuna muumini wa kweli wa dini ya KISLAMU anayeweza kuchoma moto nyumba ya ibada ya madhebu mengine kimsingi hawa ni wahuni na makafiri waliojificha katika kivuli cha UISLAMU
wekeni cv yake hapa
na hizo tivii zinazompa airtime ni pumbavu kabisanimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni juha na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
Sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa
nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni juha na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa
Sheikh Ponda siyo janga kama sheria ingekuwa inachukua mkondo wake. Wacha serikali impe kichwa kwa kuendeakeza sera za udini.
haya matendo yanayofanyika nahisi kuna mkono wa al kaida au boko! hii sio dini!!
waislam tusikubali kutumika kwa maslahi ya watu wachache......wenzetu wanatutuma wao wanalipwa sisi tutafia segerea na familia zetu kutaabika
Mkuu inspectorbenja huyo ponda kaonyeshwa tv gani? Nivizie marudio Sijawahi kumuona na hamu nae ile mbaya
Kuna tofauti gain kati ya Hawa mashekhe wawili
Sheikh Issa Ponda na sheikh Jakaya Mrisho
Mkuu inspectorbenja huyo ponda kaonyeshwa tv gani? Nivizie marudio Sijawahi kumuona na hamu nae ile mbaya
Kuna tofauti gain kati ya Hawa mashekhe wawili
Sheikh Issa Ponda na sheikh Jakaya Mrisho
CV yake inaonekana jina tu, hana background ya kitaaluma, wala hana uzoefu wa kiutendaji.wekeni cv yake hapa