masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Rainfall
Join Date : 9th April 2014
Posts : 12
Rep Power : 303
Likes Received2
Likes Given0
Aaaaaaaaaaaaaaaaa, ndiyo maana tunapata post za hadi wanawake uliowagegeda kumbe ni mgeni, basi :welcome:
thread nyingi sana zinakuja bila kutahiriwa vizuri.
hawa watoto watatupotezea tam tam ya MMU sasa tusipoangalia
Jamani mnatukatisha tamaa sisi wengine ambao ni wageni hapa JF,nakumbuka kuna siku niliandika thread halafu nikaghairi nilivyofikiria majibu ya hapa,mana ukichapia tu mtu anaangalia umeingia lini humu JF.
mkuu pole sana kwa hilo, tatizo la new ID's ni kwamba nyingi huwa zina post pumba oriented materials, tofauti na matatizo ya mtu binafsi, wengine hata kama ni matatizo yao, uwezo wa kujielezea unakuwa mdogo sana...
post zinatumwa kwa uharaka sana kiasi cha kutokuwa na nyama nyingi ndani....
pole lakini, nitafute kwa pm nikupe mwongozo zaidi...
Hahahahahaaaaa, mkongwe Excel vipi tena, usalama upo kweli?