Miaka 30+ amekwepa mishale mingapi ndugu yangu, kuna wanawake wanamsimamo aisee.. Niliforce sana, ila nilifail nkaona sio kesi, anafanya kazi ya heshima sana, elimu kubwa kama tumbo la lekibamiaz.. pesa ipo mie nkawa natumbua tu na michepuko yangu. Na mimi nilimpenda, yupo vzuri sana basi nkawa mpole mpaka ndoa. Michepuko nimepiga chini yote nipo na mama mjengo tu ila sasa ndo balaa lingine hilo.