Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,896 Jul 29, 2017 #1 Kwa watumiaji wa bus za Mwendokasi baadae msijekusema hamkutahadharishwa kuhusu huyu jamaa. sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
Kwa watumiaji wa bus za Mwendokasi baadae msijekusema hamkutahadharishwa kuhusu huyu jamaa. sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 29, 2017 #2 Nadhani wana Dar wamekupata
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,534 Reaction score 27,803 Jul 29, 2017 #4 Joseverest said: Nadhani wana Dar wamekupata Click to expand... hahahaahahaha mkuu nakusalimu tu habari yako
Joseverest said: Nadhani wana Dar wamekupata Click to expand... hahahaahahaha mkuu nakusalimu tu habari yako
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Jul 29, 2017 #5 hiyo ni lugha ya kiswahili aliyotumia kuandika andika hapo? muacheni tu awe mwizi maana elimu hamna hapo,ka opt kufanya kitu anachokiweza,huyo ndio mwanaume wa dar!
hiyo ni lugha ya kiswahili aliyotumia kuandika andika hapo? muacheni tu awe mwizi maana elimu hamna hapo,ka opt kufanya kitu anachokiweza,huyo ndio mwanaume wa dar!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 30, 2017 #6 zipompa said: hahahaahahaha mkuu nakusalimu tu habari yako Click to expand... nzuri sana mkuu Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
zipompa said: hahahaahahaha mkuu nakusalimu tu habari yako Click to expand... nzuri sana mkuu Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,498 Reaction score 18,268 Jul 30, 2017 #7 Me too uwe makini mama ukipanda hayo mabasi huko mjini Sent using Jamii Forums mobile app