It is not intruguing, but to me i see it is obvious.
I say so because the main duty of a member of parliament as per article 63 of the constitution are as hereunder:
(3) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka yake Bunge laweza–
(a) kumuuliza Waziri yeyote swali lolote kuhusu mambo ya umma katika
Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake;
(b) kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila
mwaka wa bajeti;
(c) kujadili na kuidhinisha mpango wowote wa muda mrefu au wa muda mfupi
unaokusudiwa kutekelezwa katika Jamhuri ya Muungano, na kutunga
sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo;
(d) kutunga sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji kuwapo sheria;
(e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri ya Muungano na
ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa.
(1) Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo yote ya Muungano katika Jamhuri ya Muungano, na pia juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi mwa Bunge.
Legally this is what an MP is expected to do, na kufanya hivi hahitaji kuwa jimboni kwake.
Kwa sababu hiyo utaona kuwa hata MaRC wanaweza kufanya kazi zao wakati pia ni wabunge wa kuchaguliwa. Lakini labda tatizo ni mgawanyo wa madaraka kati ya bunge na watendaji kidigo hii inaingilia the principle of separation of power.