Shamba

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,486
Shamba linauzwa eka 7 lipo kibaha kwa matiasi njia panda kwenda jeshini km2 kutoka barabara morogoro umeme upo na maji pia.bei maelewano tuwasiliane 0655145070
 
Unaogopa nini kuweka bei!?? watu wataamua kupiga wakiona wanaimudu bei, otherwise keep it for yourself mkuu.
 
Shamba linauzwa eka 7 lipo kibaha kwa matiasi njia panda kwenda jeshini km2 kutoka morogoro rodi umeme upo na maji pia.bei maelewano tuwasiliane 0655145070

Eka 1 inapatikana ?
 
Nilimpigia simu anasema eka 7 wanauza mil 98m kasema hapunguzi hata kidogo na sehemu yenyewe ipo bondeni sana hakuna barabara ya kufikika kwa kifupi bei anayouza ni kubwa sana!!

Cc: investa.tz
 
Last edited by a moderator:
Namimi nilikwenda kuliona mkuu! lipo bondeni sana, mpaka upande boda boda mbili, afu ukifika kwenye mto inabidi mtu akuvushe.



Nilimpigia simu anasema eka 7 wanauza mil 98m kasema hapunguzi hata kidogo na sehemu yenyewe ipo bondeni sana hakuna barabara ya kufikika kwa kifupi bei anayouza ni kubwa sana!!

Cc: investa.tz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…