Shamba linauzwa

Joined
Jun 22, 2022
Posts
38
Reaction score
15
Shamba linauzwa, linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao, maharage n,k

Lina ukubwa wa eka 50. Bei ya kila eka ni tsh laki tatu na Elfu hamsini (350,000=)

Shamba lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe. Lipo jirani na barabara na Kuna laini ya umeme umepita karibu
Maji pia yapo karibu.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929
 
sioni shamba,naona milima na pori tu,au macho yangu hayaoni vizuri..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…