Mkamba kutoka kibada ni km 11???? Kutoka site kwangu pale Mwasonga kwenda mkamba ndiyo km 11, na kutoka kibada hadi Mwasonga ni km 17. Kapime tena ili hata ukipata Mteja ajue Ukweli halisi. Kutoka ferry hadi Mwasonga ni km 30 hapo bado mkamba.
Sawa lakini ngoja apatikane Mteja akikuta kutoka kibada hadi mkamba 9km basi itakuwa Heri. Lakini atakayeenda aje aseme Ukweli kama hajakuta kilometer zaidi ya hizo hadi mkamba.
Hapana hakuna Dalali ila hajapima vizuri kilometer maana bango la kuandikwa njia ya mkamba lipo site kwangu hapo tayari umeshatembea zile kilometer zote kutoka kibada, Mpaka uje ukutane na chuo cha kilimo cha mkorea. Nilichomsaidia awake km sawa ili Mteja wake ajue anaenda kununua sehemu yenye umbali gani. Kuliko kutumia business language halafu akose Mteja kwa kutokuwa makini.