Vituka JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 2,269 Reaction score 1,269 Sep 12, 2018 #1 Lipo Kiwangwa kwenye kijiji kinaitwa Masugulu. Lina ukubwa wa eka 30, eneo ni zuri kwa uwekezaji wowote. Bei ni TZS M40. PM kwa maelezo zaidi na negotiations. Akhsante.
Lipo Kiwangwa kwenye kijiji kinaitwa Masugulu. Lina ukubwa wa eka 30, eneo ni zuri kwa uwekezaji wowote. Bei ni TZS M40. PM kwa maelezo zaidi na negotiations. Akhsante.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 17,959 Reaction score 21,952 Sep 12, 2018 #2 Mbona katika picha hapo inaonyesha sehemu yote ni poli tu kiongozi?
Baraka sheni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 473 Reaction score 198 Sep 15, 2018 #3 Mkuu hiyo picha ungepiga mchana maana haionekani vizuri.
manizzle JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 3,421 Reaction score 4,323 Sep 15, 2018 #4 kawombe said: Mbona katika picha hapo inaonyesha sehemu yote ni poli tu kiongozi? Click to expand... Baraka sheni said: Mkuu hiyo picha ungepiga mchana maana haionekani vizuri. Click to expand... Sijui kama atawaelewa kuwa ninyi ni akina tomaso
kawombe said: Mbona katika picha hapo inaonyesha sehemu yote ni poli tu kiongozi? Click to expand... Baraka sheni said: Mkuu hiyo picha ungepiga mchana maana haionekani vizuri. Click to expand... Sijui kama atawaelewa kuwa ninyi ni akina tomaso