shamba linauzwa vikindu

lil grray

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Nauza shamba langu lina ukubwa wa eka 2 liko vikindu- Malogoro njia ya kuelekea Tundwi songani, linafaa kwa kilimo cha mbogamboga(matikiti, matango, nyanya chungu, bamia nk, pia lina eneo ukitaka kufuga samaki. Liko barabara ya pili kutoka barabara ya Tundwisongani. Bei m.10. Mawasiliano 0684 864864
 

Linda Mani karibu? being INA maongezi au fixed?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…